Numbers 35:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msipokee fidia yoyote kuokoa maisha ya mwuaji aliyepatikana na hatia, akahukumiwa kifo; mtu huyo lazima auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikubali fidia yoyote ya kuokoa uhai wa muuaji ambaye anastahili kufa. Mtu huyo hakika lazima auawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, msipokee fidia kwa ajili ya uhai wa mwuaji, ambaye amekuwa na hatia ya mauti; Lakini lazima atauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msipokee fidia yoyote kuokoa maisha ya mwuaji aliyepatikana na hatia, akahukumiwa kifo; mtu huyo lazima auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikubali fidia yo yote ya kuokoa uhai wa mwuaji ambaye anastahili kufa. Mtu huyo hakika lazima auawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikubali fidia yoyote ya kuokoa uhai wa muuaji ambaye anastahili kufa. Mtu huyo hakika lazima auawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, msipokee fidia kwa ajili ya uhai wa mwuaji, ambaye amekuwa na hatia ya mauti; Lakini lazima atauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msipokee fidia yoyote kuokoa maisha ya mwuaji aliyepatikana na hatia, akahukumiwa kifo; mtu huyo lazima auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena msichukue makombozi ya mtu mwuaji aliyekora manza za kufa, hana budi kuuawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, msipokee fidia kwa ajili ya uhai wa mwuaji, ambaye amekuwa na hatia ya mauti; Lakini lazima atauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musipokee malipo yoyote kwa kuokoa maisha ya mwuaji aliyepatikana na kosa, akihukumiwa kifo; mutu huyo anapaswa kuuawa.