Numbers 35:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msipokee wala msikubali fidia yoyote kutoka kwa mtu aliyekimbilia mji wa makimbilio ili kumruhusu arudi kukaa nyumbani kwake kabla ya kifo cha kuhani mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikubali fidia ya mtu ambaye amekimbilia katika mji wa makimbilio, na hivyo kumruhusu kurudi kuishi katika nchi yake kabla ya kifo cha kuhani mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena hamtapokea fidia kwa ajili ya huyo aliyeukimbilia mji wake wa makimbilio, apate kwenda tena kuketi katika nchi, hata kifo cha kuhani mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msipokee wala msikubali fidia yoyote kutoka kwa mtu aliyekimbilia mji wa makimbilio ili kumruhusu arudi kukaa nyumbani kwake kabla ya kifo cha kuhani mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikubali fidia ya mtu ye yote ambaye amekimbilia katika mji wa makimbilio na kumruhusu kurudi kuishi katika nchi yake kabla ya kifo cha Kuhani Mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikubali fidia ya mtu yeyote ambaye amekimbilia katika mji wa makimbilio na kumruhusu kurudi kuishi katika nchi yake kabla ya kifo cha kuhani mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena hamtapokea fidia kwa ajili ya huyo aliyeukimbilia mji wake wa makimbilio, apate kwenda tena kukaa katika nchi, hata kifo cha kuhani mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msipokee wala msikubali fidia yoyote kutoka kwa mtu aliyekimbilia mji wa makimbilio ili kumruhusu arudi kukaa nyumbani kwake kabla ya kifo cha kuhani mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala msichukue makombozi ya mtu aliyekimbilia mji wa kuukimbilia, kwamba apate kurudi na kukaa kwao, mtambikaji akiwa hajafa bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena hamtapokea fidia kwa ajili ya huyo aliyeukimbilia mji wake wa makimbilio, apate kwenda tena kuketi katika nchi, hata kifo cha kuhani mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musipokee wala musikubali malipo yoyote kutoka kwa mutu aliyekimbilia katika muji wa makimbilio kwa kumuruhusu arudi kukaa kwake mbele ya kifo cha Kuhani Mukubwa.