Numbers 35:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiitie unajisi nchi ambayo mnakaa, nchi ambayo mimi ninakaa; maana mimi Mwenyezi-Mungu ninakaa miongoni mwenu Waisraeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiinajisi nchi mnayoishi, ambayo nami ninakaa, kwa kuwa Mimi, Mwenyezi Mungu, ninakaa katikati ya Waisraeli.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo msiitie unajisi nchi muiketiyo, ambayo naketi nami kati yake; kwa kuwa mimi Bwana nakaa kati ya wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiitie unajisi nchi ambayo mnakaa, nchi ambayo mimi ninakaa; maana mimi Mwenyezi-Mungu ninakaa miongoni mwenu Waisraeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiinajisi nchi mnayoishi, ambayo nami ninakaa, kwa kuwa Mimi, BWANA, ninakaa katikati ya Waisraeli.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiinajisi nchi mnayoishi, ambayo nami ninakaa, kwa kuwa Mimi, bwana, ninakaa katikati ya Waisraeli.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo msiitie unajisi nchi mwishiyo ambayo nami nakaa kati yake; kwa kuwa mimi BWANA nakaa kati ya wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiitie unajisi nchi ambayo mnakaa, nchi ambayo mimi ninakaa; maana mimi Mwenyezi-Mungu ninakaa miongoni mwenu Waisraeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo msiichafue hiyo nchi, ninyi mtakayoikaa, mimi nami nitakakokaa; kwani mimi Bwana nitakaa katikati ya wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo msiitie unajisi nchi muiketiyo, ambayo naketi nami kati yake; kwa kuwa mimi BWANA nakaa kati ya wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musichafue inchi ambayo munakaa ndani yake, inchi ambayo mimi ninakaa ndani yake; maana mimi Yawe ninakaa kati yenu Waisraeli.