Numbers 35:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malisho ya maeneo mtakayowapa Walawi kandokando ya miji yataenea kila upande umbali wa mita 450 kutoka kwenye kuta za miji hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Maeneo ya malisho kuzunguka miji hiyo ambayo mtawapa Walawi yataenea dhiraa elfu moja kutoka ukuta wa miji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yale malisho ya miji mtakayowapa Walawi, ukubwa wake utakuwa tangu ukuta wa mji kupima kiasi cha dhiraa elfu pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malisho ya maeneo mtakayowapa Walawi kandokando ya miji yataenea kila upande umbali wa mita 450 kutoka kwenye kuta za miji hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Maeneo ya malisho kuzunguka miji hiyo ambayo mtawapa Walawi yataenea mita 450 kutoka kwenye ukuta wa miji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Maeneo ya malisho kuzunguka miji hiyo ambayo mtawapa Walawi yataenea mita 450 kutoka kwenye ukuta wa miji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yale malisho ya miji mtakayowapa Walawi, ukubwa wake utakuwa tangu ukuta wa mji kupima kiasi cha dhiraa elfu pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malisho ya maeneo mtakayowapa Walawi kandokando ya miji yataenea kila upande umbali wa mita 450 kutoka kwenye kuta za miji hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo malisho ya miji, mtakayowapa Walawi, upana wao kutoka penye boma la mji kwenda nje sharti uwe mikono elfu kuuzunguka mji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yale malisho ya miji mtakayowapa Walawi, ukubwa wake utakuwa tangu ukuta wa mji kupima kiasi cha dhiraa elfu pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malisho ya maeneo mutakayowapa Walawi kandokando ya miji yataenea kila upande umbali wa metre mia ine na makumi tano kutoka kwenye kuta za miji hiyo.