Numbers 35:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtawapa Walawi miji sita ya makimbilio ambapo mtu akimuua mwenzake bila kukusudia ataruhusiwa kukimbilia. Pamoja na hiyo, mtawapa miji mingine arubaini na miwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Miji sita mtakayowapa Walawi itakuwa ya makimbilio, ambayo mtu anayemuua mwenzake aweza kukimbilia humo. Zaidi ya hiyo, wapeni miji mingine arobaini na mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hiyo miji mtakayowapa Walawi, itakuwa miji sita ya makimbilio, mtakayoweka kwa ajili ya mwenye kumwua mtu, ili akimbilie huko; pamoja na hiyo mtawapa miji arobaini na miwili zaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtawapa Walawi miji sita ya makimbilio ambapo mtu akimuua mwenzake bila kukusudia ataruhusiwa kukimbilia. Pamoja na hiyo, mtawapa miji mingine arubaini na miwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Miji sita mtakayowapa Walawi itakuwa ya makimbilio, ambayo mtu anayemwua mwenzake aweza kukimbilia humo. Nyongeza ya hiyo, wapeni miji mingine arobaini na miwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Miji sita mtakayowapa Walawi itakuwa ya makimbilio, ambayo mtu anayemuua mwenzake aweza kukimbilia humo. Zaidi ya hiyo, wapeni miji mingine arobaini na miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hiyo miji mtakayowapa Walawi, itakuwa miji sita ya kukimbilia, mtakayoweka kwa ajili ya mwenye kumwua mtu, ili akimbilie huko; pamoja na hiyo mtawapa miji arobaini na miwili zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtawapa Walawi miji sita ya makimbilio ambapo mtu akimuua mwenzake bila kukusudia ataruhusiwa kukimbilia. Pamoja na hiyo, mtawapa miji mingine arubaini na miwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika hiyo miji, mtakayowapa Walawi, sharti mwape miji sita ya kuikimbilia; hiyo mwape kwamba: mwuaji apate kuikimbilia. Pasipo kuihesabu hiyo mwape miji 42.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hiyo miji mtakayowapa Walawi, itakuwa miji sita ya makimbilio, mtakayoweka kwa ajili ya mwenye kumwua mtu, ili akimbilie huko; pamoja na hiyo mtawapa miji arobaini na miwili zaidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutawapa Walawi miji sita ya makimbilio ambapo mutu akimwua mwenzake bila kukusudia ataruhusiwa kukimbilia. Pamoja na hiyo, mutawapa miji mingine makumi ine na miwili.