Numbers 35:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla ya miji mtakayowapa Walawi itakuwa arubaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na sehemu za malisho yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa jumla inawapasa kuwapa Walawi miji arobaini na nane, pamoja na maeneo ya malisho yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji yote mtakayowapa hao Walawi jumla yake itakuwa miji arobaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na malisho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla ya miji mtakayowapa Walawi itakuwa arubaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na sehemu za malisho yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa jumla inawapasa kuwapa Walawi miji arobaini na minane, pamoja na maeneo ya malisho yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa jumla inawapasa kuwapa Walawi miji arobaini na minane, pamoja na maeneo ya malisho yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji yote mtakayowapa hao Walawi jumla yake itakuwa miji arobaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na malisho yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla ya miji mtakayowapa Walawi itakuwa arubaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na sehemu za malisho yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo miji yote, mtakayowapa Walawi, itakuwa 48, ndiyo hiyo miji yenyewe pamoja na malisho yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji yote mtakayowapa hao Walawi jumla yake itakuwa miji arobaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na malisho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jumla ya miji mutakayowapa Walawi itakuwa makumi ine na minane; mutawapa miji hiyo pamoja na sehemu za malisho yake.