Numbers 36:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binti za Selofehadi walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo binti za Selofehadi wakafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwamuru Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hao binti za Selofehadi wakafanya kama Bwana alivyomwagiza Musa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binti za Selofehadi walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo binti za Selofehadi wakafanya kama BWANA alivyomwamuru Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo binti za Selofehadi wakafanya kama bwana alivyomwamuru Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hao binti za Selofehadi wakafanya kama BWANA alivyomwagiza Musa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binti za Selofehadi walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Bwana alivyomwagiza Mose, ndivyo, wana wa kike wa Selofuhadi walivyofanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hao binti za Selofehadi wakafanya kama BWANA alivyomwagiza Musa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wabinti za Selofehadi wakafanya kama vile Yawe alivyomwamuru Musa.