Numbers 36:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliolewa katika jamaa za ukoo wa Manase mwana wa Yosefu, na urithi wao ukabaki katika kabila la baba yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliolewa ndani ya koo za wazao wa Manase mwana wa Yusufu, na urithi wao ukabaki katika ukoo na kabila la baba yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliolewa katika jamaa za wana wa Manase, mwana wa Yusufu, na urithi wao ukakaa katika kabila ya jamaa ya baba yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliolewa katika jamaa za ukoo wa Manase mwana wa Yosefu, na urithi wao ukabaki katika kabila la baba yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliolewa ndani ya koo za wazao wa Manase mwana wa Yosefu, na urithi wao ukabaki katika ukoo na kabila la baba yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliolewa ndani ya koo za wazao wa Manase mwana wa Yusufu, na urithi wao ukabaki katika ukoo na kabila la baba yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliolewa katika jamaa za wana wa Manase, mwana wa Yusufu, na urithi wao ukakaa katika kabila la jamaa ya baba yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliolewa katika jamaa za ukoo wa Manase mwana wa Yosefu, na urithi wao ukabaki katika kabila la baba yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao waliookuwa ndugu zao wana wa Manase, mwana wa Yosefu, ndio waliolewa nao; kwa hiyo fungu lao likakaa kwake shina la ndugu za baba yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliolewa katika jamaa za wana wa Manase, mwana wa Yusufu, na urithi wao ukakaa katika kabila ya jamaa ya baba yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaolewa katika jamaa za ukoo wa Manase mwana wa Yosefu, na urizi wao ukabaki katika kabila la baba yao.