Numbers 36:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo amri na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu aliwapa Waisraeli kwa njia ya Mose katika tambarare za Moabu, ngambo ya Mto Yordani karibu na mji wa Yeriko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio maagizo na masharti ambayo Mwenyezi Mungu aliwapa Waisraeli kupitia Musa katika tambarare za Moabu, karibu na Yordani ng’ambo ya Yeriko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya ndiyo maagizo na hukumu, ambayo Bwana aliwaagiza wana wa Israeli, kwa mkono wa Musa, hapo katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo amri na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu aliwapa Waisraeli kwa njia ya Mose katika tambarare za Moabu, ng'ambo ya Mto Yordani karibu na mji wa Yeriko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo maagizo na masharti ambayo BWANA aliwapa Waisraeli kupitia Mose katika tambarare za Moabu, karibu na Yordani ng'ambo ya Yeriko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo maagizo na masharti ambayo bwana aliwapa Waisraeli kupitia Musa katika tambarare za Moabu, karibu na Yordani ng’ambo ya Yeriko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya ndiyo maagizo na hukumu, ambayo BWANA aliwaagiza wana wa Israeli, kwa mkono wa Musa, hapo katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo amri na maagizo ambayo Mwenyezi-Mungu aliwapa Waisraeli kwa njia ya Mose katika tambarare za Moabu, ngambo ya Mto Yordani karibu na mji wa Yeriko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maagizo na maamuzi, Bwana aliyowaagiza wana wa Isiraeli kinywani mwa Mose kwenye mbuga za Moabu ng'ambo ya huku ya Yordani, Yeriko ukiwa ng'ambo ya pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya ndiyo maagizo na hukumu, ambayo BWANA aliwaagiza wana wa Israeli, kwa mkono wa Musa, hapo katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizo ndizo amri na maagizo ambayo Yawe aliwapa Waisraeli kwa njia ya Musa katika mabonde ya Moabu, ngambo ya muto Yordani karibu na muji wa Yeriko.