Numbers 36:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakasema, “Bwana wetu, Mwenyezi-Mungu alikuamuru kuwagawia watu wa Israeli nchi kwa kura, kuwa urithi wao; alikuamuru pia uwape binti za Selofehadi ndugu yetu urithi wa baba yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakasema, “Mwenyezi Mungu alipomwamuru bwana wangu kuwapa Waisraeli nchi kama urithi kwa kura, alikuamuru kutoa urithi wa ndugu yetu Selofehadi kwa binti zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakasema, Bwana alimwagiza bwana wangu awape wana wa Israeli nchi kwa kupiga kura iwe urithi wao; tena bwana wangu aliagizwa na Bwana awape binti za Selofehadi ndugu yetu huo urithi wa baba yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakasema, “Bwana wetu, Mwenyezi-Mungu alikuamuru kuwagawia watu wa Israeli nchi kwa kura, kuwa urithi wao; alikuamuru pia uwape binti za Selofehadi ndugu yetu urithi wa baba yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakasema, “Wakati BWANA alipomwamuru bwana wangu kuwapa Waisraeli nchi kama urithi kwa kura, alikuamuru kutoa urithi wa ndugu yetu Selofehadi kwa binti zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakasema, “ bwana alipomwamuru bwana wangu kuwapa Waisraeli nchi kama urithi kwa kura, alikuamuru kutoa urithi wa ndugu yetu Selofehadi kwa binti zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakasema, BWANA alimwagiza bwana wangu awape wana wa Israeli nchi kwa kupiga kura iwe urithi wao; tena bwana wangu aliagizwa na BWANA awape binti za Selofehadi ndugu yetu huo urithi wa baba yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakasema, “Bwana wetu, Mwenyezi-Mungu alikuamuru kuwagawia watu wa Israeli nchi kwa kura, kuwa urithi wao; alikuamuru pia uwape binti za Selofehadi ndugu yetu urithi wa baba yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakawaambia: Bwana amekuagiza wewe, bwana wetu, kuwapa wana wa Isiraeli nchi hiyo na kuwapigia kura, wapate mafungu ya nchi kuwa yao; nawe bwana wetu, umeagizwa na Bwana kuwapa wana wa kike wa ndugu yetu Selofuhadi fungu lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakasema, BWANA alimwagiza bwana wangu awape wana wa Israeli nchi kwa kupiga kura iwe urithi wao; tena bwana wangu aliagizwa na BWANA awape binti za Selofehadi ndugu yetu huo urithi wa baba yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakasema: Yawe alikuamuru kuwagawanyia watu wa Israeli inchi kwa kura kuwa urizi wao; alikuamuru vilevile uwape wabinti za Selofehadi ndugu yetu urizi wa baba yao.