Numbers 36:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika sikukuu ya ukumbusho urithi wao utahesabiwa pamoja na ule wa kabila watakamoolewa na hivyo kabila letu halitapata urithi huo tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwaka wa Yubile kwa Waisraeli utakapofika, urithi wao utaongezwa kwa lile kabila ambalo wameolewa, na mali yao itaondolewa kutoka urithi wa kabila la mababu zetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakapokuwapo hiyo yubile ya wana wa Israeli, ndipo urithi wa hiyo kabila ambayo wamekuwa ndani yake utaongezewa huo urithi wao; hivyo urithi wao utaondolewa katika urithi wa kabila ya baba zetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika sikukuu ya ukumbusho urithi wao utahesabiwa pamoja na ule wa kabila watakamoolewa na hivyo kabila letu halitapata urithi huo tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mwaka wa Yubile kwa Waisraeli utakapofika, urithi wao utaongezwa kwa lile kabila ambalo wameolewa, na mali yao itaondolewa kutoka urithi wa kabila la mababu zetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mwaka wa Yubile kwa Waisraeli utafika, urithi wao utaongezwa kwa lile kabila ambalo wameolewa, na mali yao itaondolewa kutoka urithi wa kabila la mababu zetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakapokuwapo hiyo jubilii ya wana wa Israeli, ndipo urithi wa hilo kabila ambalo wamekuwa ndani yake utaongezewa huo urithi wao; hivyo urithi wao utaondolewa katika urithi wa kabila la baba zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika sikukuu ya ukumbusho urithi wao utahesabiwa pamoja na ule wa kabila watakamoolewa na hivyo kabila letu halitapata urithi huo tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao mwaka wa shangwe utakapotimia kwa wana wa Isiraeli, fungu lao litatiwa vivyo hivyo katika mafungu ya shina jingine litakalokuwa lao kwa kuolewa kwao; ndivyo, hilo fungu lao litakavyotoweka katika mafungu ya shina la baba zetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakapokuwapo hiyo yubile ya wana wa Israeli, ndipo urithi wa hiyo kabila ambayo wamekuwa ndani yake utaongezewa huo urithi wao; hivyo urithi wao utaondolewa katika urithi wa kabila ya baba zetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika sikukuu ya ukumbusho urizi wao utahesabiwa pamoja na ule wa kabila watakamoolewa na hivyo kabila letu halitapata urizi huo tena.