Numbers 36:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akawapa Waisraeli agizo lifuatalo kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, akawaambia, “Watu wa ukoo wa kabila la Yosefu, wamesema ukweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo kwa agizo la Mwenyezi Mungu Musa akatoa amri ifuatayo kwa Waisraeli: “Kile wazao wa kabila la Yusufu wanachosema ni kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akawaagiza wana wa Israeli kama neno la Bwana lilivyokuwa, akasema, Kabila ya wana wa Yusufu imenena yaliyo haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akawapa Waisraeli agizo lifuatalo kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, akawaambia, “Watu wa ukoo wa kabila la Yosefu, wamesema ukweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo kwa agizo la BWANA Mose akatoa amri ifuatayo kwa Waisraeli: “Kile wazao wa kabila la Yosefu wanachosema ni kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo kwa agizo la bwana Musa akatoa amri ifuatayo kwa Waisraeli: “Kile wazao wa kabila la Yusufu wanachosema ni kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akawaagiza wana wa Israeli kama neno la BWANA lilivyokuwa, akasema, Kabila la wana wa Yusufu imenena yaliyo haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akawapa Waisraeli agizo lifuatalo kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, akawaambia, “Watu wa ukoo wa kabila la Yosefu, wamesema ukweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose alipowaagiza wana wa Isiraeli kwa kuagizwa na Bwana kwamba: Hayo, wao wa shina la wana wa Yosefu waliyoyasema, ni ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akawaagiza wana wa Israeli kama neno la BWANA lilivyokuwa, akasema, Kabila ya wana wa Yusufu imenena yaliyo haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akawapa Waisraeli agizo lile kutoka kwa Yawe, akawaambia: Watu wa ukoo wa kabila la Yosefu wamesema ukweli.