Numbers 36:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na hivi ndivyo anavyoamuru Mwenyezi-Mungu kuhusu binti za Selofehadi; wako huru kuolewa na mtu yeyote wampendaye, lakini waolewe katika kabila lao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu anavyoamuru kwa binti za Selofehadi: Wanaweza kuolewa na mtu yeyote wampendaye, mradi tu waolewe miongoni mwa koo za kabila la baba yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ameagiza neno hili katika habari ya binti za Selofehadi, akasema, Na waolewe na waume wawapendao; lakini na waolewe katika jamaa ya kabila ya baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na hivi ndivyo anavyoamuru Mwenyezi-Mungu kuhusu binti za Selofehadi; wako huru kuolewa na mtu yeyote wampendaye, lakini waolewe katika kabila lao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo BWANA anavyoamuru kwa binti za Selofehadi: Wanaweza kuolewa na mtu ye yote wampendaye, mradi tu waolewe miongoni mwa koo za kabila za baba yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo bwana anavyoamuru kwa binti za Selofehadi: Wanaweza kuolewa na mtu yeyote wampendaye, mradi tu waolewe miongoni mwa koo za kabila za baba yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ameagiza neno hili katika habari ya binti za Selofehadi, akasema, Na waolewe na waume wawapendao; lakini na waolewe katika jamaa ya kabila za baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na hivi ndivyo anavyoamuru Mwenyezi-Mungu kuhusu binti za Selofehadi; wako huru kuolewa na mtu yeyote wampendaye, lakini waolewe katika kabila lao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno, Bwana analowaagiza wana wa kike wa Selofuhadi kwamba: Mtu, watakayemwona kuwa mwema, wataolewa naye, lakini watakayeolewa naye sharti awe mtu wa ndugu za shina la baba yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ameagiza neno hili katika habari ya binti za Selofehadi, akasema, Na waolewe na waume wawapendao; lakini na waolewe katika jamaa ya kabila ya baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na hivi ndivyo Yawe anavyoamuru juu ya wabinti za Selofehadi; wako huru kuolewa na mutu yeyote wanayemupenda, lakini waolewe katika kabila lao,