Numbers 36:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili urithi wa Waisraeli usihamishiwe kwa kabila lingine; kila Mwisraeli atazingatia urithi wa kabila lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna urithi katika Israeli utakaohamishwa kutoka kabila moja kwenda kabila jingine, kwa kuwa kila Mwisraeli atatunza ardhi ya kabila lake aliyoirithi kutoka kwa baba zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo hapana urithi wo wote wa wana wa Israeli utakaotoka kabila hii kwenda kabila hii; kwa kuwa wana wa Israeli watashikamana kila mtu na urithi wa kabila ya baba zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili urithi wa Waisraeli usihamishiwe kwa kabila lingine; kila Mwisraeli atazingatia urithi wa kabila lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna urithi katika Israeli utakaohamishwa kutoka kabila moja kwenda kabila jingine, kwa kuwa kila Mwisraeli atatunza ardhi ya kabila lake aliyoirithi kutoka kwa baba zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna urithi katika Israeli utakaohamishwa kutoka kabila moja kwenda kabila jingine, kwa kuwa kila Mwisraeli atatunza ardhi ya kabila lake aliyoirithi kutoka kwa baba zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo hapana urithi wowote wa wana wa Israeli utakaotoka kabila hili kwenda kabila lile; kwa kuwa wana wa Israeli watashikamana kila mtu na urithi wa kabila la baba zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili urithi wa Waisraeli usihamishiwe kwa kabila lingine; kila Mwisraeli atazingatia urithi wa kabila lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni kwa kwamba mafungu yao wana wa Isiraeli yasiondolewe katika shina moja na kutiwa katika shina jingine, ila wana wa Isiraeli sharti wagandamane kila mmoja na mafungu yaliyo ya shina la baba zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo hapana urithi wo wote wa wana wa Israeli utakaotoka kabila hii kwenda kabila hii; kwa kuwa wana wa Israeli watashikamana kila mtu na urithi wa kabila ya baba zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi urizi wa Waisraeli usihamishiwe kwa kabila lingine; kila Mwisraeli atabakia na urizi wa kabila lake.