Numbers 36:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanamke yeyote mwenye urithi katika kabila mojawapo la Israeli ni lazima aolewe na mtu wa kabila lake, ili kila Mwisraeli achukue urithi wa babu zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila binti atakayerithi ardhi katika kabila lolote la Israeli ni lazima aolewe na mtu kutoka kabila na ukoo wa baba yake, ili kila Mwisraeli amiliki urithi wa baba zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila binti atakayemiliki urithi katika kabila yo yote katika wana wa Israeli, ataolewa katika jamaa moja ya kabila ya baba yake, ili wana wa Israeli wapate kumiliki kila mtu urithi wa baba zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanamke yeyote mwenye urithi katika kabila mojawapo la Israeli ni lazima aolewe na mtu wa kabila lake, ili kila Mwisraeli achukue urithi wa babu zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila binti atakayerithi ardhi katika kabila lo lote la Israeli ni lazima aolewe na mtu kutoka kabila na ukoo wa baba yake, ili kila Mwisraeli amiliki urithi wa baba zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila binti atakayerithi ardhi katika kabila lolote la Israeli ni lazima aolewe na mtu kutoka kabila na ukoo wa baba yake, ili kila Mwisraeli amiliki urithi wa baba zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kila binti atakayemiliki urithi katika kabila lolote katika wana wa Israeli, ataolewa katika jamaa moja ya kabila la baba yake, ili wana wa Israeli wapate kumiliki kila mtu urithi wa baba zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanamke yeyote mwenye urithi katika kabila mojawapo la Israeli ni lazima aolewe na mtu wa kabila lake, ili kila Mwisraeli achukue urithi wa babu zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa kike wote walio wenye fungu la nchi ya mashina ya wana wa Isiraeli sharti waolewe na mtu aliye wa ndugu za shina la baba yao, kusudi wana wa Isiraeli washike kila mmoja fungu lake la nchi, alilolipata kwa baba zake, liwe lake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila binti atakayemiliki urithi katika kabila yo yote katika wana wa Israeli, ataolewa katika jamaa moja ya kabila ya baba yake, ili wana wa Israeli wapate kumiliki kila mtu urithi wa baba zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanamuke yeyote mwenye urizi katika kabila moja la Israeli anapaswa kuolewa na mutu wa kabila lake, kusudi kila Mwisraeli abakie na urizi wa babu zake.