Numbers 4:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakiweka pamoja na vyombo vyake vyote ndani ya ngozi laini ya mbuzi na kukiweka juu ya mipiko ya kuchukulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha watakisokotea pamoja na vifaa vyake vyote katika ngozi za pomboo na kukiweka kwenye jukwaa lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao watakitia, na vyombo vyake vyote, ndani ya ngozi ya pomboo, na kukitia juu ya miti ya kukichukulia
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakiweka pamoja na vyombo vyake vyote ndani ya ngozi laini ya mbuzi na kukiweka juu ya mipiko ya kuchukulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha watakisokotea pamoja na vifaa vyake vyote katika ngozi laini ya mnyama na kukiweka kwenye jukwaa lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha watakisokotea pamoja na vifaa vyake vyote katika ngozi za pomboo na kukiweka kwenye jukwaa lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao watakitia, na vyombo vyake vyote, ndani ya ngozi ya pomboo, na kukiweka juu ya miti ya kukichukulia
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakiweka pamoja na vyombo vyake vyote ndani ya ngozi laini ya mbuzi na kukiweka juu ya mipiko ya kuchukulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na wakifunike pamoja na vyombo vyake vyote kwa blanketi la ngozi za pomboo, kisha na wakiweke juu ya miti ya kukichukulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao watakitia, na vyombo vyake vyote, ndani ya ngozi ya pomboo, na kukitia juu ya miti ya kukichukulia
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakiweka pamoja na vyombo vyake vyote ndani ya ngozi laini ya mbuzi na kukiweka juu ya miti ya kubebea.