Numbers 4:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Halafu watatandaza kitambaa cha buluu juu ya madhabahu ya dhahabu na kuifunika kwa ngozi laini ya mbuzi juu yake. Halafu wataingiza mipiko yake ya kuichukulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Juu ya madhabahu ya dhahabu watatandaza kitambaa cha buluu na kukifunika kwa ngozi za pomboo na kuweka mipiko yake mahali pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena watatandika nguo ya rangi ya samawi juu ya madhabahu ya dhahabu, na kuifunika kwa ngozi za pomboo, na kuitia ile miti yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Halafu watatandaza kitambaa cha buluu juu ya madhabahu ya dhahabu na kuifunika kwa ngozi laini ya mbuzi juu yake. Halafu wataingiza mipiko yake ya kuichukulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Juu ya madhabahu ya dhahabu watatandaza kitambaa cha buluu na kukifunika kwa ngozi laini ya mnyama na kuweka mipiko yake mahali pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Juu ya madhabahu ya dhahabu watatandaza kitambaa cha buluu na kukifunika kwa ngozi za pomboo na kuweka mipiko yake mahali pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena watatandika nguo ya rangi ya samawati juu ya madhabahu ya dhahabu, na kuifunika kwa ngozi za pomboo, na kuitia ile miti yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Halafu watatandaza kitambaa cha buluu juu ya madhabahu ya dhahabu na kuifunika kwa ngozi laini ya mbuzi juu yake. Halafu wataingiza mipiko yake ya kuichukulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watandaze nguo nyeusi ya kifalme juu ya meza ya dhahabu ya kuvukizia, kisha waifunike kwa blanketi la ngozi za pomboo na kuitia mipiko yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena watatandika nguo ya rangi ya samawi juu ya madhabahu ya dhahabu, na kuifunika kwa ngozi za pomboo, na kuitia ile miti yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu watatandaza kitambaa cha rangi ya samawi juu ya mazabahu ya zahabu na kuifunika kwa ngozi laini ya mbuzi. Halafu wataingiza miti yake ya kuibebea.