Numbers 4:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watayaondoa majivu kutoka madhabahuni na juu yake watatandaza kitambaa cha zambarau.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wataondoa majivu kutoka madhabahu ya shaba na kutandaza kitambaa cha zambarau juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watayaondoa hayo majivu madhabahuni; na kutandika nguo ya rangi ya zambarau juu yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watayaondoa majivu kutoka madhabahuni na juu yake watatandaza kitambaa cha zambarau.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wataondoa majivu kutoka katika madhabahu ya shaba na kutandaza kitambaa cha zambarau juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wataondoa majivu kutoka madhabahu ya shaba na kutandaza kitambaa cha zambarau juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watayaondoa hayo majivu madhabahuni; na kutandika nguo ya rangi ya zambarau juu yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watayaondoa majivu kutoka madhabahuni na juu yake watatandaza kitambaa cha zambarau.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na wazoe majivu mezani pa kuteketezea ng'ombe za tambiko, kisha watandaze juu yake nguo nyekundu ya kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watayaondoa hayo majivu madhabahuni; na kutandika nguo ya rangi ya zambarau juu yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wataondoa majivu juu ya mazabahu na juu yake watatandaza kitambaa cha rangi ya zambarau.