Numbers 4:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu yake wataviweka vyombo vyote vitumikavyo katika ibada kwenye madhabahu: Vyetezo, nyuma, miiko na mabakuli. Kisha, juu yake watatandaza kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi na kuiingiza mipiko yake ya kulibebea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wataweka vyombo vyote juu yake vinavyotumika kwa kuhudumia madhabahuni pamoja na vyombo vya kutolea moto, nyuma, miiko na mabakuli ya kunyunyizia. Juu yake watatandaza ngozi za pomboo ya kufunika, na kuweka mipiko mahali pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wataweka vyombo vyake vyote juu yake ambavyo wavitumia katika madhabahu, vyetezo, na nyuma, na miiko, na mabakuli, vyombo vyote vya hiyo madhabahu; nao watatandika juu yake ngozi za pomboo, na kutia miti yake mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu yake wataviweka vyombo vyote vitumikavyo katika ibada kwenye madhabahu: vyetezo, nyuma, miiko na mabakuli. Kisha, juu yake watatandaza kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi na kuiingiza mipiko yake ya kulibebea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wataweka vyombo vyote juu yake vinavyotumika kwa kuhudumia madhabahuni pamoja na vyombo vya kutolea moto, nyuma, miiko na mabakuli ya kunyunyizia. Juu yake watatandaza ngozi laini ya mnyama ya kufunika, na kuweka mipiko mahali pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wataweka vyombo vyote juu yake vinavyotumika kwa kuhudumia madhabahuni pamoja na vyombo vya kutolea moto, nyuma, miiko na mabakuli ya kunyunyizia. Juu yake watatandaza ngozi za pomboo ya kufunika, na kuweka mipiko mahali pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wataweka vyombo vyake vyote juu yake ambavyo wavitumia katika madhabahu, vyetezo, na nyuma, na miiko, na mabakuli, vyombo vyote vya hiyo madhabahu; nao watatandika juu yake ngozi za pomboo, na kutia miti yake mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu yake wataviweka vyombo vyote vitumikavyo katika ibada kwenye madhabahu: Vyetezo, nyuma, miiko na mabakuli. Kisha, juu yake watatandaza kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi na kuiingiza mipiko yake ya kulibebea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na waweke juu yake vyombo vyake vyote, wanavyovitumia wakifanya kazi za hapo, sinia na nyuma na majembe na vyano na vyombo vyote vya meza ya kuteketezea ng'ombe za tambiko, wavifunike juu kwa blanketi la ngozi za pomboo, kisha na waitie mipiko yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wataweka vyombo vyake vyote juu yake ambavyo wavitumia katika madhabahu, vyetezo, na nyuma, na miiko, na mabakuli, vyombo vyote vya hiyo madhabahu; nao watatandika juu yake ngozi za pomboo, na kutia miti yake mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu yake wataweka vyombo vyote vinavyotumika katika ibada kwenye mazabahu: vyetezo, makanya, miiko na mabakuli. Kisha, juu yake watatandaza kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi na kuiingiza miti yake ya kulibebea.