Numbers 4:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wazawa wa Kohathi hawataingia kamwe kuvitazama vitu hivyo vitakatifu sana; wakifanya hivyo watakufa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini wasiingie wao kupaona mahali pale patakatifu, hata kwa dakika moja, ili wasife.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wazawa wa Kohathi hawataingia kamwe kuvitazama vitu hivyo vitakatifu sana; wakifanya hivyo watakufa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini wasiingie wao kupaona mahali pale patakatifu, hata kwa dakika moja, ili wasife.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wazawa wa Kohathi hawataingia kamwe kuvitazama vitu hivyo vitakatifu sana; wakifanya hivyo watakufa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wasiingie kamwe kupatazama tu Patakatifu, ijapo iwe kitambo kidogo kabisa, wsife.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini wasiingie wao kupaona mahali pale patakatifu, hata kwa dakika moja, ili wasife.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wazao wa Kohati hawataingia kwa kutazama vitu hivyo vitakatifu sana wakifanya hivyo watakufa.