Numbers 4:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wahesabu watu wa ukoo wa Gershoni, kufuatana na familia na koo zao;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wahesabu pia Wagershoni kwa jamaa zao na koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanya jumla ya wana wa Gershoni nao, kwa nyumba za baba zao, na jamaa zao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wahesabu watu wa ukoo wa Gershoni, kufuatana na familia na koo zao;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wahesabu pia Wagerishoni kwa jamaa zao na koo zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wahesabu pia Wagershoni kwa jamaa zao na koo zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanya hesabu za wana wa Gershoni nao, kwa nyumba za baba zao, na jamaa zao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wahesabu watu wa ukoo wa Gershoni, kufuatana na familia na koo zao;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fanya hesabu ya wana wa Gersoni nao walio wa milango ya baba zao na wa udugu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanya jumla ya wana wa Gershoni nao, kwa nyumba za baba zao, na jamaa zao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uhesabu watu wa ukoo wa Gersoni kufuatana na jamaa na ukoo zao;