Numbers 4:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wajibu wao utakuwa huu: Watabeba mapazia ya hema takatifu na hema la mkutano pamoja na
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni wakati wanapofanya kazi na kubeba mizigo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huu ni utumishi wa jamaa za Wagershoni, katika kutumika na katika kuchukua mizigo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wajibu wao utakuwa huu: watabeba mapazia ya hema takatifu na hema la mkutano pamoja na
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hii ndiyo huduma ya koo za Wagerishoni wakati wanapofanya kazi na kubeba mizigo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni wakati wanapofanya kazi na kubeba mizigo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huu ni utumishi wa jamaa za Wagershoni, katika kutumika na katika kuchukua mizigo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wajibu wao utakuwa huu: Watabeba mapazia ya hema takatifu na hema la mkutano pamoja na
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo kazi zao walio wa udugu wa Gersoni za kutumika na za kuchukua mizigo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huu ni utumishi wa jamaa za Wagershoni, katika kutumika na katika kuchukua mizigo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utumishi wao utakuwa huu: