Numbers 4:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kifuniko chake, kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi kilicho juu yake, pazia la lango,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watabeba mapazia ya maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, kifuniko chake na kifuniko cha nje cha ngozi za pomboo, mapazia ya maingilio ya Hema la Kukutania,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wao watayachukua mapazia ya maskani, na hema ya kukutania, hizo nguo za kufunikia, na zile ngozi za pomboo za kufunikia zilizo juu yake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kifuniko chake, kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi kilicho juu yake, pazia la lango,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watabeba mapazia ya maskani. Hema la Kukutania, kifuniko chake na kifuniko cha nje cha ngozi laini ya mnyama, mapazia ya maingilio ya Hema la Kukutania,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watabeba mapazia ya maskani. Hema la Kukutania, kifuniko chake na kifuniko cha nje cha ngozi za pomboo, mapazia ya maingilio ya Hema la Kukutania,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wao watayachukua mapazia ya Hema Takatifu, na hema ya kukutania, hizo nguo za kufunikia, na zile ngozi za pomboo za kufunikia zilizo juu yake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kifuniko chake, kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi kilicho juu yake, pazia la lango,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na wayachukue mazulia ya Kao, na Hema la Mkutano na chandalua chake na chandalua cha ngozi za pomboo kilichoko juu yake na pazia la hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wao watayachukua mapazia ya maskani, na hema ya kukutania, hizo nguo za kufunikia, na zile ngozi za pomboo za kufunikia zilizo juu yake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watabeba mapazia ya hema takatifu na hema la mukutano pamoja na kifuniko chake, kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi kinachokuwa juu yake, pazia la mulango,