Numbers 4:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndiyo huduma ya jamaa za Gershoni kwenye hema la mkutano; watafanya kazi chini ya uongozi wa Ithamari mwana wa kuhani Aroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni katika Hema la Kukutania. Wajibu wao utakuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani Haruni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huu ni utumishi wa jamaa za wana wa Wagershoni katika hema kukutania; na ulinzi utakuwa chini ya mkono wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndiyo huduma ya jamaa za Gershoni kwenye hema la mkutano; watafanya kazi chini ya uongozi wa Ithamari mwana wa kuhani Aroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo huduma ya koo za Wagerishoni katika Hema la Kukutania. Wajibu wao utakuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani Aroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni katika Hema la Kukutania. Wajibu wao utakuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani Haruni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huu ni utumishi wa jamaa za wana wa Wagershoni katika hema ya kukutania; na ulinzi utakuwa chini ya mkono wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndiyo huduma ya jamaa za Gershoni kwenye hema la mkutano; watafanya kazi chini ya uongozi wa Ithamari mwana wa kuhani Aroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizi ndizo kazi za utumishi wao walio wa udugu wa wana wa Gersoni wa kutumikia Hemani mwa Mkutano, naye atakayewaangalia ni Itamari, mwana wa mtambikaji Haroni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huu ni utumishi wa jamaa za wana wa Wagershoni katika hema kukutania; na ulinzi utakuwa chini ya mkono wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo kazi ya jamaa za Gersoni kwenye hema la mukutano; watafanya kazi chini ya uongozi wa Itamari mwana wa kuhani Haruni.