Numbers 4:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya yote wakafanya sensa ya watu wa ukoo wa Kohathi, kufuatana na familia zao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa, Haruni na viongozi wa jumuiya wakawahesabu Wakohathi kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa na Haruni na hao wakuu wa mkutano wakawahesabu wana wa Kohathi kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya yote wakafanya sensa ya watu wa ukoo wa Kohathi, kufuatana na familia zao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya wakawahesabu Wakohathi kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa, Haruni na viongozi wa jumuiya wakawahesabu Wakohathi kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa na Haruni na hao wakuu wa mkutano wakawahesabu wana wa Kohathi kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya yote wakafanya sensa ya watu wa ukoo wa Kohathi, kufuatana na familia zao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Mose na Haroni na wakuu wa mkutano wakawakagua wana wa Kehati walio wa udugu wao na wa milango ya baba zao;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa na Haruni na hao wakuu wa mkutano wakawahesabu wana wa Kohathi kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa, Haruni na viongozi wa Waisraeli wakafanya hesabu ya watu wa ukoo wa Kohati, kufuatana na jamaa zao,