Numbers 4:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Idadi yao kufuatana na jamaa zao ilikuwa watu 2,750.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa elfu mbili na mia saba hamsini (2,750).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na waliohesabiwa kwao kwa jamaa zao, walikuwa elfu mbili na mia saba hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Idadi yao kufuatana na jamaa zao ilikuwa watu 2,750.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na waliohesabiwa kwao kwa jamaa zao, walikuwa elfu mbili na mia saba hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Idadi yao kufuatana na jamaa zao ilikuwa watu 2,750.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jumla yao walio wa udugu wao walikuwa watu 2750.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na waliohesabiwa kwao kwa jamaa zao, walikuwa elfu mbili na mia saba hamsini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesabu yao kufuatana na jamaa zao ilikuwa watu elfu mbili mia saba na makumi tano.