Numbers 4:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Idadi ya watu wa ukoo wa Gershoni kufuatana na familia zao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wagershoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao waliohesabiwa katika wana wa Gershoni, kwa jamaa zao na nyumba zao baba zao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Idadi ya watu wa ukoo wa Gershoni kufuatana na familia zao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wagerishoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wagershoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao waliohesabiwa katika wana wa Gershoni, kwa jamaa zao na nyumba za baba zao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Idadi ya watu wa ukoo wa Gershoni kufuatana na familia zao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Gersoni wakakaguliwa nao walio wa udugu wao na wa milango ya baba zao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao waliohesabiwa katika wana wa Gershoni, kwa jamaa zao na nyumba zao baba zao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesabu ya watu wa ukoo wa Gersoni kufuatana na jamaa zao,