Numbers 4:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Idadi ya watu wa ukoo wa Merari kufuatana na jamaa zao na familia zao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Idadi ya watu wa ukoo wa Merari kufuatana na jamaa zao na familia zao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Idadi ya watu wa ukoo wa Merari kufuatana na jamaa zao na familia zao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu za wana wa Merari wakakagulia nao walio wa udugu wao na wa milango ya baba zao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesabu ya watu wa ukoo wa Merari kufuatana na jamaa zao na nyumba zao,