Numbers 4:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndiyo idadi ya watu wa ukoo wa Merari ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Wamerari. Musa na Haruni waliwahesabu kufuatia amri ya Mwenyezi Mungu kupitia kwa Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, ambao Musa na; Haruni waliwahesabu kwa amri ya Bwana, kwa mkono wa Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndiyo idadi ya watu wa ukoo wa Merari ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Wamerari. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatana na amri ya BWANA kupitia kwa Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Wamerari. Musa na Haruni waliwahesabu kufuatia amri ya bwana kupitia kwa Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, ambao Musa na; Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA, kwa mkono wa Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndiyo idadi ya watu wa ukoo wa Merari ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii ndiyo jumla yao walio wa udugu wa wana wa Merari, Mose na Haroni waliowakagua kwa amri, Bwana aliyompa Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Merari, ambao Musa na; Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA, kwa mkono wa Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo hesabu ya watu wa ukoo wa Merari ambao Musa na Haruni waliwahesabu kama vile Yawe alivyomwamuru Musa.