Numbers 4:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Walawi wote walioandikishwa na Mose, Aroni na viongozi wa watu, kwa kufuata jamaa zao na koo zao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Musa, Haruni na viongozi wa Israeli waliwahesabu Walawi wote kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote waliohesabiwa katika Walawi, ambao Musa na Haruni na hao wakuu wa Israeli waliwahesabu, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Walawi wote walioandikishwa na Mose, Aroni na viongozi wa watu, kwa kufuata jamaa zao na koo zao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Mose, Aroni na viongozi wa Israeli waliwahesabu Walawi wote kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Musa, Haruni na viongozi wa Israeli waliwahesabu Walawi wote kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote waliohesabiwa katika Walawi, ambao Musa na Haruni na hao wakuu wa Israeli waliwahesabu, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Walawi wote walioandikishwa na Mose, Aroni na viongozi wa watu, kwa kufuata jamaa zao na koo zao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndio Walawi wote waliokaguliwa, Mose na Haroni na wakuu wa Waisiraeli waliowakagua, waliokuwa wa udugu wao na wa milango ya baba zao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote waliohesabiwa katika Walawi, ambao Musa na Haruni na hao wakuu wa Israeli waliwahesabu, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, Walawi wote waliohesabiwa na Musa, Haruni na viongozi wa watu, kwa kufuata jamaa zao na ukoo zao,