Numbers 4:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini, na ambao walifaa kwa huduma na uchukuzi katika hema la mkutano,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wote wenye umri wa kuanzia miaka thelathini hadi hamsini waliokuja kufanya kazi ya kuhudumu na kubeba Hema la Kukutania
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini, kila aliyeingia kufanya kazi ya utumishi, na kazi ya kuchukua mizigo katika hema ya kukutania,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini, na ambao walifaa kwa huduma na uchukuzi katika hema la mkutano,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaume wote wenye umri kuanzia miaka thelathini hadi hamsini waliokuja kufanya kazi ya kuhudumu na kubeba Hema la Kukutania
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaume wote wenye umri kuanzia miaka thelathini hadi hamsini waliokuja kufanya kazi ya kuhudumu na kubeba Hema la Kukutania
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini, kila aliyeingia kufanya kazi ya utumishi, na kazi ya kuchukua mizigo katika hema ya kukutania,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini, na ambao walifaa kwa huduma na uchukuzi katika hema la mkutano,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndio waliokuwa wenye miaka thelathini na zaidi mpaka miaka hamsini, nao ndio wote waliofaa kufanya kazi za kuutumikia huo utumishi nao utumishi wa kuchukua mizigo Hemani mwa Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini, kila aliyeingia kufanya kazi ya utumishi, na kazi ya kuchukua mizigo katika hema ya kukutania,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wenye umri kati ya miaka makumi tatu na makumi tano, na ambao walifaa kwa kazi na ubebaji katika hema la mukutano,