Numbers 4:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, watavifunika vyombo hivi vyote kwa kitambaa chekundu, na juu yake wataweka kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi. Halafu wataingiza mipiko yake ya kulibeba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu ya hivyo vitu watatandaza kitambaa chekundu na kufunika kwa ngozi za pomboo na kuweka mipiko yake mahali pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao watatandika juu yake nguo ya rangi nyekundu, na kuifunika kwa ngozi za pomboo za kuifunikia, na kuitia ile miti yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, watavifunika vyombo hivi vyote kwa kitambaa chekundu, na juu yake wataweka kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi. Halafu wataingiza mipiko yake ya kulibeba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya hivyo vitu watatandaza kitambaa chekundu na kufunika kwa ngozi laini ya mnyama na kuweka mipiko yake mahali pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya hivyo vitu watatandaza kitambaa chekundu na kufunika kwa ngozi za pomboo na kuweka mipiko yake mahali pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao watatandika juu yake nguo ya rangi nyekundu, na kuifunika kwa ngozi za pomboo za kuifunikia, na kuiweka ile miti yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, watavifunika vyombo hivi vyote kwa kitambaa chekundu, na juu yake wataweka kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi. Halafu wataingiza mipiko yake ya kulibeba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na watandaze nguo nyekundu ya kifalme, kisha waifunike kwa blanketi la ngozi za pomboo, kisha na waitie mipiko yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao watatandika juu yake nguo ya rangi nyekundu, na kuifunika kwa ngozi za pomboo za kuifunikia, na kuitia ile miti yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, watavifunika vyombo hivi vyote kwa kitambaa chekundu, na juu yake wataweka kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi. Halafu wataingiza miti yake ya kulibebea.