Numbers 5:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kuhani atampeleka huyo mwanamke karibu, na kumsimamisha mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kuhani atamleta huyo mwanamke na kumsimamisha mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi kuhani atamleta mwanamke akaribie, na kumweka mbele za Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kuhani atampeleka huyo mwanamke karibu, na kumsimamisha mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kuhani atamleta huyo mwanamke na kumsimamisha mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kuhani atamleta huyo mwanamke na kumsimamisha mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi kuhani atamleta mwanamke akaribie, na kumweka mbele za BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kuhani atampeleka huyo mwanamke karibu, na kumsimamisha mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji na ampeleke huyo mwanamke, amsimamishe mbele yake Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kuhani atamleta mwanamke akaribie, na kumweka mbele za BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atamupeleka huyo mwanamuke karibu, na kumusimamisha mbele ya Yawe.