Numbers 5:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama umepotoka hali uko chini ya mamlaka ya mumeo, ukajitia najisi kwa kulala na mwanamume mwingine asiye mume wako,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ikiwa umepotoka wakati ukiwa umeolewa na mume wako na umejinajisi mwenyewe kwa kukutana kimwili na mwanaume mwingine asiyekuwa mumeo”;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini kwamba umekengeuka uli chini ya mumeo, na kwamba u hali ya unajisi, na mtu mume amelala nawe, asiyekuwa mumeo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama umepotoka hali uko chini ya mamlaka ya mumeo, ukajitia najisi kwa kulala na mwanamume mwingine asiye mume wako,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ikiwa umepotoka wakati ukiwa umeolewa na mume wako na umejinajisi mwenyewe kwa kukutana kimwili na mwanaume mwingine asiyekuwa mumeo”;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ikiwa umepotoka wakati ukiwa umeolewa na mume wako na umejinajisi mwenyewe kwa kukutana kimwili na mwanaume mwingine asiyekuwa mumeo”;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini ikiwa umekengeuka ukiwa chini ya mumeo, na kwamba u hali ya unajisi, na mwanamume amelala nawe, asiyekuwa mumeo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama umepotoka hali uko chini ya mamlaka ya mumeo, ukajitia najisi kwa kulala na mwanamume mwingine asiye mume wako,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama umekosa na kujichafua ukimtumia mwingine kuwa kama mumeo, mtu ye yote akilala kwako kwa ugoni asiye mumeo, basi, yatakupata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini kwamba umekengeuka uli chini ya mumeo, na kwamba u hali ya unajisi, na mtu mume amelala nawe, asiyekuwa mumeo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama umepotoka wakati uko chini ya mamlaka ya mume wako, na kujichafua kwa kulala na mwanaume mwingine asiyekuwa mume wako,