Numbers 5:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu na akuadhibu hata uwe laana na apizo miongoni mwa watu wako, uwe tasa na tumbo lako livimbe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hapa kuhani atamweka huyo mwanamke chini ya laana ya kiapo akisema: “Mwenyezi Mungu na awafanye watu wako wakulaani na kukukataa, wakati Mwenyezi Mungu atakapolifanya paja lako kupooza na tumbo lako kuvimba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hapo ndipo kuhani atamwapisha mwanamke kwa kiapo cha kuapiza, kisha kuhani atamwambia huyo mwanamke maneno haya, Bwana na akufanye wewe uwe laana na kiapo kati ya watu wako, hapo Bwana akufanyapo paja lako kupooza, na tumbo lako kuvimba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu na akuadhibu hata uwe laana na apizo miongoni mwa watu wako, uwe tasa na tumbo lako livimbe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hapa kuhani atamweka huyo mwanamke chini ya laana ya kiapo akisema: “BWANA na awafanye watu wako wakulaani na kukukataa, wakati BWANA atakapolifanya paja lako kupooza na tumbo lako kuvimba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hapa kuhani atamweka huyo mwanamke chini ya laana ya kiapo akisema: “ bwana na awafanye watu wako wakulaani na kukukataa, wakati bwana atakapolifanya paja lako kupooza na tumbo lako kuvimba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hapo ndipo kuhani atamwapisha mwanamke kwa kiapo cha kuapiza, kisha kuhani atamwambia huyo mwanamke maneno haya, BWANA na akufanye wewe uwe laana na kiapo kati ya watu wako, hapo BWANA akufanyapo paja lako kupooza, na tumbo lako kuvimba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu na akuadhibu hata uwe laana na apizo miongoni mwa watu wako, uwe tasa na tumbo lako livimbe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na amwapishe huyo mwanamke kwa kiapo cha kuapiza, mtambikaji akimwambia huyo mwanamke: Bwana na akuweke kuwa kielekezo cha kuapizwa katikati yao walio ukoo wako akivipoozesha viuno vyako pamoja na kulivimbisha tumbo lako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hapo ndipo kuhani atamwapisha mwanamke kwa kiapo cha kuapiza, kisha kuhani atamwambia huyo mwanamke maneno haya, BWANA na akufanye wewe uwe laana na kiapo kati ya watu wako, hapo BWANA akufanyapo paja lako kupooza, na tumbo lako kuvimba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akuazibu hata ukuwe laana na kiapo kati ya watu wako, ukuwe tasa na tumbo lako livimbe.