Numbers 5:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha kuhani ataandika laana hizi kitabuni na kuzioshea katika maji machungu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kuhani ataandika laana hizi kwenye kitabu, kisha atazioshea laana hizo kwenye yale maji machungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kuhani ataziandika laana hizo ndani ya kitabu, na kuzifuta katika maji ya uchungu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha kuhani ataandika laana hizi kitabuni na kuzioshea katika maji machungu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kuhani ataandika laana hizi kwenye kitabu, kisha atazioshea laana hizo kwenye yale maji machungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kuhani ataandika laana hizi kwenye kitabu, kisha atazioshea laana hizo kwenye yale maji machungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha kuhani ataziandika laana hizo ndani ya kitabu, na kuzifuta katika maji ya uchungu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha kuhani ataandika laana hizi kitabuni na kuzioshea katika maji machungu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na ayaandike haya maapizo chuoni na kuyafuta kwa yale maji machungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kuhani ataziandika laana hizo ndani ya kitabu, na kuzifuta katika maji ya uchungu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kuhani ataandika laana hizi katika kitabu na kuzisafisha katika maji machungu.