Numbers 5:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kisha kuhani atachukua ile sadaka ya nafaka ya wivu mikononi mwa mwanamke huyo na kuitikisa mbele ya Mwenyezi-Mungu, na kuipeleka madhabahuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani atachukua sadaka ya nafaka kwa ajili ya wivu kutoka mikononi mwa huyo mwanamke, naye ataipunga mbele za Mwenyezi Mungu na kuileta madhabahuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kuhani ataitwaa hiyo sadaka ya unga ya wivu, kwa kuiondoa mkononi mwa huyo mwanamke, naye ataitikisa sadaka ya unga mbele ya Bwana, na kuisongeza pale madhabahuni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kisha kuhani atachukua ile sadaka ya nafaka ya wivu mikononi mwa mwanamke huyo na kuitikisa mbele ya Mwenyezi-Mungu, na kuipeleka madhabahuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atachukua sadaka ya nafaka kwa ajili ya wivu kutoka mikononi mwa huyo mwanamke, naye ataipunga mbele za BWANA na kuileta madhabahuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atachukua sadaka ya nafaka kwa ajili ya wivu kutoka mikononi mwa huyo mwanamke, naye ataipunga mbele za bwana na kuileta madhabahuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha kuhani ataitwaa hiyo sadaka ya unga ya wivu, kwa kuiondoa mkononi mwa huyo mwanamke, naye ataitikisa sadaka ya unga mbele za BWANA, na kuisongeza pale madhabahuni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kisha kuhani atachukua ile sadaka ya nafaka ya wivu mikononi mwa mwanamke huyo na kuitikisa mbele ya Mwenyezi-Mungu, na kuipeleka madhabahuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na akichukue kilaji cha tambiko cha wivu mkononi mwa mwanamke, akipitishe motoni mbele ya Bwana na kumtolea mezani pa kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kuhani ataitwaa hiyo sadaka ya unga ya wivu, kwa kuiondoa mkononi mwa huyo mwanamke, naye ataitikisa sadaka ya unga mbele ya BWANA, na kuisongeza pale madhabahuni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kuhani atatwaa ile sadaka ya vyakula ya wivu katika mikono ya mwanamuke huyo na kuitikisa mbele ya Yawe, na kuipeleka juu ya mazabahu.