Numbers 5:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
au wakati mwanamume ashikwapo na wivu na kumshuku mkewe. Atamsimamisha mwanamke huyo mbele ya Mwenyezi-Mungu, na kuhani atatekeleza masharti yote ya sheria hii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au hisia za wivu zinapomjia mwanaume kwa sababu ya kumshuku mkewe. Kuhani atamfanya huyo mwanamke kusimama mbele za Mwenyezi Mungu na atatumia sheria hii yote kwa huyo mwanamke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
au, roho ya wivu ikimwingia mtu mume, naye akamwonea wivu mkewe; ndipo atakapomweka huyo mwanamke mbele za Bwana, na kuhani atatenda juu yake sheria hii yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
au wakati mwanamume ashikwapo na wivu na kumshuku mkewe. Atamsimamisha mwanamke huyo mbele ya Mwenyezi-Mungu, na kuhani atatekeleza masharti yote ya sheria hii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au hisia za wivu zinapomjia mwanaume kwa sababu ya kumshuku mkewe. Kuhani atamfanya huyo mwanamke kusimama mbele za BWANA na atatumia sheria hii yote kwa huyo mwanamke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au hisia za wivu zinapomjia mwanaume kwa sababu ya kumshuku mkewe. Kuhani atamfanya huyo mwanamke kusimama mbele za bwana na atatumia sheria hii yote kwa huyo mwanamke.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
au, roho ya wivu ikimwingia mtu mume, naye akamwonea wivu mkewe; ndipo atakapomweka huyo mwanamke mbele za BWANA, na kuhani atatenda juu yake sheria hii yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
au wakati mwanamume ashikwapo na wivu na kumshuku mkewe. Atamsimamisha mwanamke huyo mbele ya Mwenyezi-Mungu, na kuhani atatekeleza masharti yote ya sheria hii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
au wivu ukiwaka moto rohoni mwa mtu, amwonee mkewe wivu, amsimamishe huyo mwanamke mbele ya Bwana, mtambikaji amfanyizie mambo yote ya haya maonyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
au, roho ya wivu ikimwingia mtu mume, naye akamwonea wivu mkewe; ndipo atakapomweka huyo mwanamke mbele za BWANA, na kuhani atatenda juu yake sheria hii yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
au wakati mwanaume anaposhikwa na wivu na kuwa na mashaka na muke wake. Atamusimamisha mwanamuke huyo mbele ya Yawe, na kuhani atatimiza masharti yote ya sheria hii.