Numbers 5:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mumewe hatakuwa na hatia yoyote, lakini mwanamke atawajibika kwa uovu wake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mume atakuwa hana hatia ya kosa lolote, bali mwanamke atayachukua matokeo ya dhambi yake.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huyo mume atakuwa hana uovu, na mwanamke atauchukua uovu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mumewe hatakuwa na hatia yoyote, lakini mwanamke atawajibika kwa uovu wake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mume atakuwa hana hatia ya kosa lo lote, bali mwanamke atayachukua matokeo ya dhambi yake.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mume atakuwa hana hatia ya kosa lolote, bali mwanamke atayachukua matokeo ya dhambi yake.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huyo mume atakuwa hana uovu, na mwanamke atauchukua uovu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mumewe hatakuwa na hatia yoyote, lakini mwanamke atawajibika kwa uovu wake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo mumewe atakuwa hana manza zo zote tena, lakini mwanamke aliye hivyo hana budi kujitwika manza, alizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huyo mume atakuwa hana uovu, na mwanamke atauchukua uovu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mume wake hatakuwa na kosa lolote, lakini mwanamuke atabeba lazima ya uovu wake.