Numbers 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walifanya hivyo, wakawafukuza nje ya kambi. Kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Mose, ndivyo Waisraeli walivyofanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakafanya hivyo; wakawatoa nje ya kambi. Wakafanya kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amemwelekeza Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli wakafanya vivyo, wakawatoa na kuwaweka nje ya marago; kama Bwana alivyonena na Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walifanya hivyo, wakawafukuza nje ya kambi. Kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Mose, ndivyo Waisraeli walivyofanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakafanya hivyo; wakawatoa nje ya kambi. Wakafanya kama vile BWANA alivyokuwa amemwelekeza Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakafanya hivyo; wakawatoa nje ya kambi. Wakafanya kama vile bwana alivyokuwa amemwelekeza Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli wakafanya hivyo, wakawatoa na kuwaweka nje ya kambi; kama BWANA alivyonena na Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walifanya hivyo, wakawafukuza nje ya kambi. Kama Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Mose, ndivyo Waisraeli walivyofanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli wakayafanya na kuwatuma kwenda nje ya makambi; kama Bwana alivyomwambia Mose, ndivyo, wana wa Isiraeli walivyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli wakafanya vivyo, wakawatoa na kuwaweka nje ya marago; kama BWANA alivyonena na Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wakafanya hivyo, wakawafukuza inje ya kambi. Kama vile Yawe alivyomwambia Musa, ndivyo Waisraeli walivyofanya.