Numbers 5:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waambie Waisraeli kuwa: Mtu yeyote, mwanamume au mwanamke akitenda dhambi dhidi ya mtu, akakosa uaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, mtu huyo ana hatia;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie Waisraeli, ‘Mwanaume au mwanamke akimkosea mwenzake kwa njia yoyote, na kwa hivyo akawa si mwaminifu kwa Mwenyezi Mungu, mtu huyo ana hatia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwaambie wana wa Israeli, Mtu mume au mke atakapofanya dhambi yo yote, ifanywayo na binadamu, kumwasi Bwana, na mtu huyo akawa na hatia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waambie Waisraeli kuwa: Mtu yeyote, mwanamume au mwanamke akitenda dhambi dhidi ya mtu, akakosa uaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, mtu huyo ana hatia;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie Waisraeli, ‘Wakati mwanaume au mwanamke akimkosea mwenzake kwa njia yo yote, na kwa hivyo akawa si mwaminifu kwa BWANA, mtu huyo ana hatia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie Waisraeli, ‘Wakati mwanaume au mwanamke akimkosea mwenzake kwa njia yoyote, na kwa hivyo akawa si mwaminifu kwa bwana, mtu huyo ana hatia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwaambie wana wa Israeli, Mtu mume au mke atakapofanya dhambi yoyote, ifanywayo na binadamu, kumwasi BWANA, na mtu huyo akawa na hatia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waambie Waisraeli kuwa: Mtu yeyote, mwanamume au mwanamke akitenda dhambi dhidi ya mtu, akakosa uaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, mtu huyo ana hatia;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambie wana wa Isiraeli: Mtu mume au mke akifanya kosa lo lote la kimtu na kumvunjia Bwana maagano, mtu huyo atakuwa amekora manza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwaambie wana wa Israeli, Mtu mume au mke atakapofanya dhambi yo yote, ifanywayo na binadamu, kumwasi BWANA, na mtu huyo akawa na hatia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie Waisraeli kwamba: Mutu yeyote, mwanaume au mwanamuke, akimukosea mwenzake, yeye anatenda zambi mbaya mbele ya Yawe.