Numbers 6:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kuhani atamtolea Mwenyezi-Mungu vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya dhambi na sadaka yake ya kuteketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kuhani atavileta vitu hivyo mbele za Mwenyezi Mungu na kufanya sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kuhani atavisongeza mbele za Bwana, naye atasongeza sadaka yake ya dhambi, na sadaka yake ya kuteketezwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kuhani atamtolea Mwenyezi-Mungu vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya dhambi na sadaka yake ya kuteketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kuhani atavileta vitu hivyo mbele za BWANA na kufanya sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kuhani atavileta vitu hivyo mbele za bwana na kufanya sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuhani atavisongeza mbele za BWANA, naye atasongeza sadaka yake ya dhambi, na sadaka yake ya kuteketezwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kuhani atamtolea Mwenyezi-Mungu vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya dhambi na sadaka yake ya kuteketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji na avipeleke vyote kwa Bwana na kumtolea kwanza ng'ombe yake ya tambiko ya weuo nayo ya kuteketezwa nzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kuhani atavisongeza mbele za BWANA, naye atasongeza sadaka yake ya dhambi, na sadaka yake ya kuteketezwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atamutolea Yawe vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya zambi na sadaka yake ya kuteketezwa.