Numbers 6:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atamtolea Mwenyezi-Mungu huyo kondoo kama tambiko ya amani, atamtoa pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, sadaka ya nafaka na ya kinywaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ataleta pia kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, na atatoa dhabihu kondoo dume kuwa sadaka ya amani kwa Mwenyezi Mungu, pamoja na sadaka yake ya nafaka, na ya kinywaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye atamsongeza huyo kondoo mume kuwa dhabihu ya sadaka za amani kwa Bwana, pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu; kisha kuhani atasongeza sadaka ya unga nayo, na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atamtolea Mwenyezi-Mungu huyo kondoo kama tambiko ya amani, atamtoa pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, sadaka ya nafaka na ya kinywaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ataleta pia kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, na atatoa dhabihu kondoo dume kama sadaka ya amani kwa BWANA, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka ya kinywaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ataleta pia kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, na atatoa dhabihu kondoo dume kama sadaka ya amani kwa bwana, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka ya kinywaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye atamsongeza huyo kondoo dume kuwa dhabihu ya sadaka za amani kwa BWANA, pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu; kisha kuhani atasongeza sadaka ya unga nayo, na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atamtolea Mwenyezi-Mungu huyo kondoo kama tambiko ya amani, atamtoa pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, sadaka ya nafaka na ya kinywaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na amchinje yule dume la kondoo kuwa ng'ombe ya tambiko ya kumshukuru Bwana pamoja na kile kipaji cha mikate isiyochachwa, kisha mtambikaji na avitoe navyo vilaji na vinywaji vyake vya tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye atamsongeza huyo kondoo mume kuwa dhabihu ya sadaka za amani kwa BWANA, pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu; kisha kuhani atasongeza sadaka ya unga nayo, na sadaka yake ya kinywaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atamutolea Yawe huyo kondoo kama sadaka ya amani, atamutoa pamoja na kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, sadaka ya vyakula na ya kinywaji.