Numbers 6:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo penye mlango wa hema la mkutano, mnadhiri huyo atanyoa nywele zake na kuzitia katika moto ulio chini ya tambiko ya sadaka ya amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kisha kwenye ingilio la Hema la Kukutania, Mnadhiri ni lazima anyoe nywele zake ambazo alikuwa ameziweka wakfu. Atazichukua hizo nywele na kuziweka ndani ya moto ulio chini ya dhabihu ya sadaka ya amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Mnadhiri atakinyoa kichwa cha kujitenga kwake, mlangoni pa hema ya kukutania, kisha atatwaa hizo nywele za kichwa cha kujitenga kwake, na kuzitia katika moto ulio chini ya dhabihu ya sadaka za amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo penye mlango wa hema la mkutano, mnadhiri huyo atanyoa nywele zake na kuzitia katika moto ulio chini ya tambiko ya sadaka ya amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kisha kwenye ingilio la Hema la Kukutania, Mnadhiri ni lazima anyoe nywele zake ambazo alikuwa ameziweka wakfu. Atazichukua hizo nywele na kuziweka ndani ya moto ulio chini ya dhabihu ya sadaka ya amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kisha kwenye ingilio la Hema la Kukutania, Mnadhiri ni lazima anyoe nywele zake ambazo alikuwa ameziweka wakfu. Atazichukua hizo nywele na kuziweka ndani ya moto ulio chini ya dhabihu ya sadaka ya amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Mnadhiri atakinyoa kichwa cha kujitenga kwake, mlangoni pa hema ya kukutania, kisha atatwaa hizo nywele za kichwa cha kujitenga kwake, na kuzitia katika moto ulio chini ya dhabihu ya sadaka za amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo penye mlango wa hema la mkutano, mnadhiri huyo atanyoa nywele zake na kuzitia katika moto ulio chini ya tambiko ya sadaka ya amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha huyu aliyejieua na azinyoe nywele za kichwani pake zilizokuwa na mwiko wa kunyolewa, naye azinyoe hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano, kisha na azichukue hizo nywele za kichwani pake zilizokuwa na mwiko wa kunyolea, azitie katika moto unaowaka chini ya ng'ombe ya tambiko ya shukrani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Mnadhiri atakinyoa kichwa cha kujitenga kwake, mlangoni pa hema ya kukutania, kisha atatwaa hizo nywele za kichwa cha kujitenga kwake, na kuzitia katika moto ulio chini ya dhabihu ya sadaka za amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo kwenye mulango wa hema la mukutano, munaziri huyo atanyoa nywele zake na kuzitia katika moto unaokuwa chini ya sadaka ya amani.