Numbers 6:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu kuhani atavitikisa vitu hivyo kama sadaka ya kutikisa mbele ya Mwenyezi-Mungu; vyote hivi ni sehemu takatifu kwa kuhani, pamoja na kidari kilichotikiswa na paja lililotolewa kama sadaka. Baada ya hayo yote, mnadhiri anaweza kunywa divai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha kuhani ataviinua mbele za Mwenyezi Mungu kuwa sadaka ya kuinuliwa; ni vitakatifu na ni mali ya kuhani, pamoja na kile kidari kilichoinuliwa, na lile paja lililotolewa. Baada ya hayo, Mnadhiri anaweza kunywa divai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye kuhani atavitikisa viwe sadaka ya kutikiswa mbele za Bwana; kitu hicho ni kitakatifu kwa kuhani, pamoja na kidari cha kutikiswa, na paja la kuinuliwa; kisha baadaye Mnadhiri ana ruhusa kunywa divai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu kuhani atavitikisa vitu hivyo kama sadaka ya kutikisa mbele ya Mwenyezi-Mungu; vyote hivi ni sehemu takatifu kwa kuhani, pamoja na kidari kilichotikiswa na paja lililotolewa kama sadaka. Baada ya hayo yote, mnadhiri anaweza kunywa divai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha kuhani atavipunga mbele za BWANA kama sadaka ya kupunga; ni vitakatifu na ni mali ya kuhani, pamoja na kile kidari kilichopungwa na lile paja lililotolewa. Baada ya hayo, Mnadhiri anaweza kunywa divai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha kuhani ataviinua mbele za bwana kama sadaka ya kuinua; ni vitakatifu na ni mali ya kuhani, pamoja na kile kidari kilichoinuliwa na lile paja lililotolewa. Baada ya hayo, Mnadhiri anaweza kunywa divai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye kuhani atavitikisa viwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA; kitu hicho ni kitakatifu kwa kuhani, pamoja na kidari cha kutikiswa, na paja la kuinuliwa; kisha baadaye Mnadhiri ana ruhusa kunywa divai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu kuhani atavitikisa vitu hivyo kama sadaka ya kutikisa mbele ya Mwenyezi-Mungu; vyote hivi ni sehemu takatifu kwa kuhani, pamoja na kidari kilichotikiswa na paja lililotolewa kama sadaka. Baada ya hayo yote, mnadhiri anaweza kunywa divai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na avipitishe motoni mbele ya Bwana, kwa kuwa vitakatifu ni vyake mtambikaji pamoja na kidari cha kupitishwa motoni na paja la kunyanyuliwa. Kisha huyo aliyejieua atakuwa tena na ruhusa ya kunywa mvinyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye kuhani atavitikisa viwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA; kitu hicho ni kitakatifu kwa kuhani, pamoja na kidari cha kutikiswa, na paja la kuinuliwa; kisha baadaye Mnadhiri ana ruhusa kunywa divai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu kuhani atavitikisa vitu hivyo kama sadaka ya kutikisa mbele ya Yawe; vyote hivi ni sehemu takatifu kwa kuhani, pamoja na kilali kilichotikiswa na paja lililotolewa kama sadaka. Nyuma ya hayo yote, munaziri anaweza kunywa divai.