Numbers 6:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwambie Aroni na wanawe kwamba hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli: Mtawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwambie Haruni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nena na Haruni na wanawe, uwaambie, Hivi ndivyo mtakavyowabarikia wana wa Israeli; mtawaambia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwambie Aroni na wanawe kwamba hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli: Mtawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwambie Haruni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nena na Haruni na wanawe, uwaambie, Hivi ndivyo mtakavyowabariki wana wa Israeli; mtawaambia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwambie Aroni na wanawe kwamba hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli: Mtawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwambie Haroni na wanawe kwamba: Mkiwabariki wana wa Isiraeli sharti mwaambie hivyo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena na Haruni na wanawe, uwaambie, Hivi ndivyo mtakavyowabarikia wana wa Israeli; mtawaambia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwambie Haruni na wana wake kwamba hivi ndivyo mutakavyowabariki Waisraeli: Mutawaambia: