Numbers 6:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu awaangalie kwa wema, na kuwafadhili;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu awaangalie kwa wema, na kuwafadhili;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu awaangalie kwa wema, na kuwafadhili;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akuangazie uso wake, akuhurumie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe awaangalie kwa wema, na kuwatendea mema;