Numbers 6:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu awaoneshe wema wake na kuwapa amani.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akugeuzie uso wake na kukupa amani.” ’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akuinulie uso wake, na kukupa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu awaoneshe wema wake na kuwapa amani.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akugeuzie uso wake na kukupa amani.” ’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akugeuzie uso wake na kukupa amani.” ’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu awaoneshe wema wake na kuwapa amani.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akuinulie uso wake, akupe utengemano!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe awaonyeshe wema wake na kuwapa amani.