Numbers 6:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo watakavyoweka jina langu juu ya wana wa Israeli; nami nitawabarikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo watakavyoweka jina langu juu ya wana wa Israeli; nami nitawabariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakapowatajia wana wa Isiraeli Jina langu hivi, mimi nitawabriki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo watakavyoweka jina langu juu ya wana wa Israeli; nami nitawabarikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.