Numbers 6:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, asinywe divai au kileo, asinywe siki ya divai au ya namna nyingine, asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu zilizoiva au kavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ni lazima ajitenge na mvinyo na kinywaji kingine chochote chenye chachu, na kamwe asinywe siki itokanayo na mvinyo au itokanayo na kinywaji kingine chenye chachu. Kamwe asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu mbichi au kavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
atajitenga na divai na vileo; hatakunywa siki ya divai, wala siki ya kileo, wala asinywe maji yo yote ya zabibu, wala asile zabibu, mbichi wala zilizokauka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, asinywe divai au kileo, asinywe siki ya divai au ya namna nyingine, asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu zilizoiva au kavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ni lazima ajitenge na mvinyo na kinywaji kingine cho chote chenye chachu, na kamwe asinywe siki itokanayo na mvinyo au itokanayo na kinywaji kingine chenye chachu. Kamwe asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu mbichi au kavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ni lazima ajitenge na mvinyo na kinywaji kingine chochote chenye chachu, na kamwe asinywe siki itokanayo na mvinyo au itokanayo na kinywaji kingine chenye chachu. Kamwe asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu mbichi au kavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
atajitenga na divai na vileo; hatakunywa siki ya divai, wala siki ya kileo, wala asinywe maji yoyote ya zabibu, wala asile zabibu, mbichi wala zilizokauka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, asinywe divai au kileo, asinywe siki ya divai au ya namna nyingine, asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu zilizoiva au kavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na ajieue kuwa mwenye mwiko wa mvinyo na wa vileo vyo vyote, asinywe wala siki ya mvinyo wala siki ya kileo cho chote, tena asinywe maji ya zabibu, asile zabibu wala mbichi wala kavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
atajitenga na divai na vileo; hatakunywa siki ya divai, wala siki ya kileo, wala asinywe maji yo yote ya zabibu, wala asile zabibu, mbichi wala zilizokauka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, asikunywe divai au kileo, asikunywe siki ya divai au ya namna nyingine, asikunywe maji ya zabibu wala kula zabibu zilizoiva au kavu.